Hivi star times mmekuwaje yaani nanunua kifurushi kidogo Cha 19000 lakini channel chache tu zinaonekana zingine hazionekani hili suala linaniudhoa Sana natamani hata kuachana na huduma zenu namba ya kadi ya king'amuzi changu ni 01837621581
Mimi napendekeza mpunguze makato ya kuhamisha pesa kwa njia ya nmb mobile maana Vodacom wanakata ukianza tu kufanya transaction pia ninapoitoa pesa inanibidi Tena nitoe kwa mpesa Napo Kuna makato tuangalie kwa hili sisi tuliopo mazingira yaliyo mbali na ATM machine tunapata tabu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.