Recent content by Emmanuel Gahagi

  1. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu, au Makamu wa Rais hutakiwi kugombea urais

    Mimi ni muumini wa hiyo falsafa, lakini sasa tulionao ni tumbo mbele Taifa nyuma.
  2. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Kanisa la Gwajima la ‘Ufufuo na Uzima’ usiku. Wananchi wajazana eneo la tukio, wagoma kuondoka!

    Hizi hasira za watawala nionavyo Mimi zinamwisho mbaya kwa maslahi mapana ya Taifa. Records' ikowazi, Historia ya mataifa mengi ambavyo yalishapitia mkondo huu yameishia kuparaganyika na hata kuvurugika kabisa. Nini kilifaa kufanyika au kifanyike 1.Uvumilivu wa kisiasa (Political tore Las)...
  3. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Records za matusi kwa g55

    Hizi ndizo lugha za wasariti, Usaliti ulianza karne na karne zilizo pita, kumbuka hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande therathini vya fedha, hata kwenye ndoa zetu kunausariti, rugha ya wasariti ni hiyohiyo palikuwa na shida Fulani mara ooh nilikua nabaguliwa mara ooh sikuwa nashirikishwa n.k...
  4. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude yupo hai, damu nyingi zilizoonekana zilitoka kwenye kinywa baada ya kubamizwa wakati akiongea

    Hapana, bali ni pepo l@ urafi wa madaraka kutoka kwa watawala,,
  5. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe kuchukua fomu kugombea Ubunge Kigoma Mjini

    Siasa za Africa na hasa kusini mwa jangwa la Sahara ni pasua kichwa. Ok. Kila raheri Mwami Luyagwa.
  6. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Tusimlaumu RPC Muliro, Hata RPC Sirro Aliwahi Kuwakana Polisi wa Makonda Uvamizi wa Clouds Hawajui. Jee ni Hawa ni Nani Anawamiliki?

    Ukiona kuna utata utata ktk utoaji taarifa za matukio mabaya, Ujuwe kuna mashinikizo ya kisiasa katika utendaji wa kitaaluma.
  7. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Haya yote uyaonyo Haya yote uyaonayo yakimsibu TL Nimatunda yatokanayo na mti mzuri sana uliopandwa hapa inchini uitwa 'KATIBA' Ambapo kadri upandavyo ndivo matunda yake yawavyo matamu au machungu.
  8. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea tusije kulaumiana!!

    Tamaa ya madaraka ikizidi kwa watawala mahala popoye duniani, mwishowake huwa ni kutoweka kwa utengamano wa Kitaifa, na pia uporomokaji wa uchumi wa mataifa husika ktk kadhia ya namna hii.
  9. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mnyika ndiye anawasilisha NEC majina ya wagombea wa CHADEMA,uteuzi wake unapingwa, Msajili wa vyama akimtengua, its over!

    No reform no election (Tumewachoka na maujanja ujanja yenu.) Nchi hii ni Mali ya watanzania wote.
  10. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

    Wanasiasa wa inchi hii wengi hawana ujuzi au m Inu ya uwasirishaji hoja kwani wengi hudhani kuparuana wao kwa wao au hata kwa wengine kwa maneno makari au yakuumizana ndiyo suruhisho, hapa Mimi Nashauri rugha sanifu itumike zaidi hasa linapo kuja suara la masilahi mkubwa ya Taifa. Unaposema eti...
  11. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

    Hatuhitaji visasi by theway mshikamano daima CHADEMA kwanza mengine baadae.
  12. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Kama kamanda wa anga asingekuwa kiongozi Bora na SI Bora kiongozi chama chetu cha CHADEMA kisingukuwa tishio kubwa Hadi Leo kwa CCM kiasi cha kuifanya CCM nserikali yake kuiba uchaguzi wote mara mbili 2019 to 2020 na 2024 to 2025.
  13. Emmanuel Gahagi

    JamiiForums Tanzania Kushabikia Tena Simba bye bye

    Acha woga wewe club ni taasisi hivyo litakwisha.
Back
Top Bottom