Recent content by Emmantavyo

  1. E

    Nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Tandika hadi Mbagala

    Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
  2. E

    Tupia majina ya baa za kibongo

    Dodoma Bar Msasani
  3. E

    Naomba ushauri wa kuniwezesha kumudu masomo yangu ya A-level

    Dah sema kweli brother mi usomaji wangu ni wa vipam tyu physics natumiaga ally abdallah na Charange.. Chemistry Ngaiza Biology Mandia... inawezekana ikawa sababu ya kufeli
  4. E

    Naomba ushauri wa kuniwezesha kumudu masomo yangu ya A-level

    Yah mi ni PCB dah cku hizi Biology wanaikaza sana nchi nzima hamna A ya biology akati hadi physics kuna A
  5. E

    Naomba ushauri wa kuniwezesha kumudu masomo yangu ya A-level

    Jamani wana jamii forum nahitaji ushauri... mimi ni mwanafunzi wa a level form 5 ila shida yangu ipo kwenye academic yangu ani kila nisomapo physics naishia kupata 40 chemistry nayo majanga biology nayo majanga... afu shule yenyewe niliyopo inazingua nawaza kuna kutoka kweli
Back
Top Bottom