Naomba ushauri wa kuniwezesha kumudu masomo yangu ya A-level

Emmantavyo

New Member
Mar 8, 2016
4
0
Jamani wana jamii forum nahitaji ushauri... mimi ni mwanafunzi wa a level form 5 ila shida yangu ipo kwenye academic yangu ani kila nisomapo physics naishia kupata 40 chemistry nayo majanga biology nayo majanga... afu shule yenyewe niliyopo inazingua nawaza kuna kutoka kweli
 
Pole sanaaa advance tena hyo PCB kuharibiana malengo ya MD tuuu ila dooh km Vp mwakan omba ukasome diploma za afya km clinical medicine,medical laboratory,pharmaceutical na nursing ila vingnevyo utaishia kujilaumu milele sembuse Chuo principal D shule unayosoma majangaaa ucje ukasota mdogo wangu advance shule mbovu ni kubet kwa mhindi ila komaa dogo wenzako tumechomoka huko huko tupate wote ila pole sanaaa PCB udactar labda wafungue vyuo walivyofunga unaweza chomoka
 
Wafungue vyuo walivyofunga halafu tupate madaktari half cooked tufe sio?
 
Acha kumdanganya E inaanzia 50-55 D inaanzia 55-65 na pricpal zinahtajika D mbili ambayo ND 4.0 E n principal lakn chuo huend waulize form six mwaka huu
Wamebadili tena maana nmemaliza mwaka huu 50-59 ni D 60-69 ni C 70-79 ni B Alf 80-100 ni A
 
yani mdogo wangu unapata physics 40 advance afu unalalamika..? acha lawama hiyo level ni tofauti ulipotoka, kupata sifuri ni kawaida sana, usife moyo una kiwango kizuri sana kuanzia.
 
Back
Top Bottom