Tanzania haikuanzishwa na Nyerere na Karume peke yao, imlianzishwa na Watanganyika wote na Wazanzibar wote, pia hawa ni watu wa kawaida tu like other Tanzanians, sijaona ni wapi wametukanwa isipokuwa wamekosolewa kama tunavyo kosoana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyerere ni sawa na mtanzania yeyote, kwa mazuri aliyofanya alisifiwa na kwa mabaya aliyoyakosea lazima akosolewe, yeye sio Mungu na wala hatokuja awe mungu.
Ushauri na mapendekezo ya huyu mama ndio tutatoka Dodoma salama, suala la muundo wa serikali walilete kwetu tupige kura kuamua nasio ccm watuamulie wao. Big up mama
Ushauri wangu kwa UKAWA, wajitoe bungeni wawaachie ccm watengeneze katiba ya chama chao, kuendelea kwao kukaa dodoma nikuwaunga mkono katika dhambi kubwa wanayo ifanyia nchi yetu ya Tanganyika. Ushauri wangu wafunge virago vyao waondoke dodoma.
Kunawasiwasi kubwa sana kama hiyo ni ya ukweli, pengine kunakamchezo hapo, pia kama ni halali nawaomba watanzania tumshukuru sana Tundu Lissu, kwani bila yeye hata hao ccm wasinge iona. Big up sana Lissu tukiwa na wana siasa kumi wa upinzani like you nchi hii itasonga mbele haraka sana.
Acheni ushamba, tulieni ccm muelezwe ukweli, tatizo lenu hamtaki kukubali ukweli, uelewa wenu wa kusilikiza na kutafsri mambo ni mdogo sana, Lissu hakumaanisha mnachosema.
Sita ndio anafaa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba, hana upendeleo na anasifa zote za kuliongoza, tukikosea tukamweka Chenge au Chikawe hatuna katiba hapo. All the best Sita.
Ukibishana na mtu mwenye matatizo na wewe utakuwa na matatizo, hongera sana watumishi wa mungu kwa uamuzi wenu huo wa busara, nafasi zenu wamepewa akina Kingunge wakaongeze nguzu ya kupitisha serikali mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.