Recent content by EMMA1

  1. EMMA1

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Mwigulu nchemba 2020 out iramba
  2. EMMA1

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Honera sana jesca kishoa kafulila
  3. EMMA1

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    <font color="#141823"><span style="font-family: helvetica">BAVICHA MKOA WA SINGIDA WAPONGEZA UTEUZI WA JESCA KISHOA UBUNGE VITI MAALUM</span></font><br> <font color="#141823"><span style="font-family: helvetica">Baraza la vijana chadema (bavicha) mkoa wa Singida limeipongeza kamati kuu ya chama...
  4. EMMA1

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    BAVICHA MKOA WA SINGIDA WAPONGEZA UTEUZI WA JESCA KISHOA UBUNGE VITI MAALUM Baraza la vijana chadema (bavicha) mkoa wa Singida limeipongeza kamati kuu ya chama hicho kwa kumteua Bi JescaKishoa kuwa mbunge wa viti maalum kutoka Mkoa wa Singida. Akiongea na waandishi wa vyombo mbalimbali vya...
  5. EMMA1

    80% Jimbo la Mtama (kwa Nape) linaenda upinzani

    Wataisoma namba mwaka huu
  6. EMMA1

    Kamanda Lucy Emmanuel katika harakati Mkoani Singida Jimbo La Mkalama

    Songa mbele kila kichochoro
  7. EMMA1

    Kamanda Lucy Emmanuel katika harakati Mkoani Singida Jimbo La Mkalama

    kamanda mpambanaji Lucy emmanuel na mgombea ubunge viti maalum mkoa wa singida kupitia jimbo la Iramba leo ametembea maeneo mbalimbali ya jimbo la mkalama akiongozwa na mwenyeji wake Oscar Alex Kapalale na Mgombe umbunge kupitia chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA) JIMBO LA MKALAMA...
  8. EMMA1

    CHADEMA Iramba Kutikisa Old Kiomboi Leo kamanda Lucy Emmanuel

    katika kuhakikisha iramba inakombolewa toka kwa wakolom ni mweusi pamoja na kutoka kwa mwigulu nchemba leo kamanda lucy Emmanuel na Mgombea Ubunge Viti maalum Mkoa wa singida kupitia jimbo la iramba atafanya uzinduzi wa kampein katika kata ya Old Kiomboi ambaye mgombea udiwani wake kupitia...
  9. EMMA1

    KESHO - 21/2/2015 Jumamosi Kamanda Mbowe Kuunguruma Mbeya Mjini

    Freeman Mbowe Mwenyekiti CHADEMA TAIFA, Naibu katibu mkuu CHADEMA TAIFA ( ZANZIBAR), Joseph China Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Mbeya,Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Rukwa,Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Njombe,Mwenyekiti Mkoa wa Iringa,Rais wa Mbeya na mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Aka Sugu,Mbunge...
  10. EMMA1

    Mh. Mbowe, Mbilinyi na Mwalimu kuunguruma leo Feb 20, 2015 Mbeya Mjini

    Freeman Mbowe Mwenyekiti CHADEMA TAIFA, Naibu katibu mkuu CHADEMA TAIFA ( ZANZIBAR), Joseph China Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Mbeya,Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Rukwa,Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Njombe,Mwenyekiti Mkoa wa Iringa,Rais wa Mbeya na mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Aka Sugu,Mbunge...
  11. EMMA1

    KESHO - 21/2/2015 Jumamosi Kamanda Mbowe Kuunguruma Mbeya Mjini

    Kesho Mkoani mbeya utafanyika Mkutano mkubwa wa hadhara mjini mbeya utakaodhuruliwa na kamanda wa Aga Mhe. Mbowe na Mwenyekiti wa Chadema Taifa pamoja na Naibu katibu Taifa Salimu Mwalim wakiongozwa na Mhe .Sugu
  12. EMMA1

    Dr. Wilbroad Slaa, Kuunguruma Dar Es Salaam - Temeke Jumapili 22/2/2015

    Dar es salamu - temeke dr wilbrod slaa - kuunguruma -22/2/2015 mkutano mkubwa wa hadhara siku ya jumapili ya tarehe 22/2/2015 katika viwanya vya dovya sokoni temeke makangarawe mh rais mtarajiwa dr wilbrod slaa akiongozana na viongozi mbalimbali wa taifa pammoja na mbunge mtarajiwa wa temeke mh...
Back
Top Bottom