Recent content by Emma Simbo

  1. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    wakuu nilifika nipo gaborone.sina update yoyote kwasasa natafuta kwanza namna ya kusettle. cc Isanga family Ng'wanapagi
  2. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Mkuu Isanga mambo yakikataa huko nitakuja SA.nadhani sio mbali mbali.
  3. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Haaa.hauna hati punguzo kama malaria wenyewe.
  4. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Nilimaanisha sitaki wa kuruka ruka nao mkuu.kama hizi sehemu nazoulizia wazijua nipe mawili matatu mku kesho naanza safari ikiwezekana nisielekee windhoek tena.
  5. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Poa mkuu kijaliwa kufika huko nitakueleza uje uone nawe.
  6. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Nimeambiwa kuna ukimwi sana mkuu.
  7. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Asante saana Mkuu isanga nitayazingatia yote uliyonieleza.
  8. E

    Kwa aliyewahi kutuma pesa nje ya nchi kwa Western Union

    Mimi nimewahi kutuma ghana.hatua unapewa ukifika benki mkuu uwe na taarifa zazote za unayemtumia.
  9. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Niombee uzima wa kuaznia akili adi mili mkuu.
  10. E

    Alhamisi nitakuwa Lusaka Jumapili Windhoek

    Niombee mkuu Hujui mbili tatu wewe
Back
Top Bottom