Magufuli anasema ataanzisha Mahakama ya mafisadi ,Bila kusema nitabadili katiba Kama si usanii ni nini,
Kuna mawili ,
1) utakuwa unafaidika na ccm kwa njia moja au nyingine kwa kupewa hela , kwa kipindi ichi tena hela yenyewe haizidi laki tano, au inakazi ccm au mzazi wako ndio anapo...