Recent content by Emil Mwangwa

  1. E

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    JF siku hizi inakuwe kijiwe cha uzushi na umbea,.kwa nini huyu anaachwa?
  2. E

    Edward Lowassa katika ubora wake akiiwajibisha serikali ya CCM Bungeni

    Lowassa mabadilikoooo.Rais awamu ya tano
  3. E

    Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Amepoteza vipi.? Ulitaka akichafuliwa na babu yenu akae kimya?
  4. E

    Baada ya kujiuzulu, Prof. Lipumba ajikita Rwanda kufanya utafiti wa Uchumi

    Msaliti ni Msaliti tu.Hana jina limgine
  5. E

    Ungepata nafasi ya kumshauri Mh Lowassa, Ungemwambia nini!

    Kama wao wamemwaga ugali yeye amwage mboga lijulikane moja
  6. E

    Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Huo mkoa mpya Wa Songwe una wilaya ngapi? na ni zipi?
  7. E

    Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Hana jipya.Kama analeta tena sijui azimio la Arusha Mara la Tabora mwisho tutasikia azimio la Zanzibar maana kila kitu kiongozi mkuu anakopi tu na wazalendo wanabugia
  8. E

    ACT-Wazalendo Mbozi mwendo wao ni zaidi ya MCHAKAMCHAKA

    Kama wewe ni miongoni mwa hao wanachuo basi walimu wako wana kazi kubwa.Hataivyo hongereni kwa miradi mizuri act vicoba
  9. E

    Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Selasini na Halifa wamejutia makosa yao.Makosa gani? Mmhh!
  10. E

    Deo Meck: Nilijiuzulu na kujivua uanachama NCCR-Mageuzi toka 3 June, 2015

    Nilijua tu siku si nyingi utajiondoa ama kufukuzwa NCCR,sasa yametimia.,.,wewe ni walewale vijana wanaojiona ndio vijana first class nchi hii.Malalamiko ni yaleyale ya watu walewale,.Safari njema eeh mzalendo.Njia nyeupe ACT huko ndo kuna wanaofanana na wewe
  11. E

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Huyu siye Zitto peke yake.Huu ni mkakati ulio na wengi nyuma yake,wasioutakia mema ukawa na taifa kwa ujumla.Kuikaribisha Act ni kukaribisha kansa ndani ya harakati za mageuzi.Ukawa usithubutu hata kufikiri kujiunga na hawa watu.Na wanataka kusikia mkiwajibu kwamba mmewakatalia alafu...
  12. E

    Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Akiwa Dar es salaam kuudhuria mkutano wa mashauriano Wa Marais wa Afrika Mashariki inasemekana Jeshi limetwaa madaraka na kutangaza kuunda serikali.Source Eborn Fm
  13. E

    Tanganyika Bado tutakupigania,mpaka tumekupata!

    Pamoja na hila zinazoendelea Dodoma.WanaCCM wanaona haya kukutaja.Tutamleta Rais wako,naam Rais Wa Tanganyika.Nitakupigania kwa moyo yangu wote na kwa akili zangu zote.Haijalishi lini.Sitaacha kukumbuka huko uliko.Pumzika salama mama Tanganyika.Wamepitisha rasimu yao,hata wakichakachua kura ya...
Back
Top Bottom