Siyo huyo tu ndugu zangu, viongozi wengi wa Taasisi za serikali wanafanya madudu haya. Mwingine anayeitwa Aloyce Lukulu Masanja amekaimu ukurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji(RUBADA) kwa muda wa miaka sita tu na ana ukwasi wa kutisha ukilinganisha na mapato yake...
ufisadi kwenye serikali umekithiri, hata ajira kwenye taasisi za serikali hutolewa kindugundugu.
wanaletwa kama vibarua halafu huajiriwa bila kufuata utaratibu wowote mfano RUBADA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.