Recent content by Emfu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Hasira nilizonazo juu ya Kinachoendelea sasa Simba Sports Club nakuomba Fei Toto usije Simba SC bali nenda zako Yanga SC

    Bindi maringo kabandikwa mimba"in Hehe's voice
  2. E

    JamiiForums Tanzania Magori: Selemani Mwalimu mchezaji gani yule wa kumlipia Tsh. Bil. 1 kwa mkopo?

    Utapeli umeingia timuni
  3. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    Nashukuru Mungu,kuniwezesha kuacha unazi wa hizi timu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    "Money in the Bank" In wrester's voice...... Timu 2 hizi zinatia kinyaa
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Ahmed Ally anafanya kazi ngumu sana ila hana bahati tu pale Simba

    Kumtumikia kafiri...............
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwajiriwa Serikalini, nilikopa ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

    Sisi watanzania huamini yeyote anaweza kufanya biashara
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwajiriwa Serikalini, nilikopa ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

    Huwezi kutaka kujinusuru Kwa kosa lilelile tena,shida ya familia zetu hazikutufunza Discipline ya pesa 1.Bajeti 2.Kuishi uhalisia 3.kuamini kuwa ukiwa na mtaji mkubwa unatoboa kibiashara.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    Nenda Ikonda ya Mbagala mission,al maarufu Kwa Buruda,ndo haohao,huduma bomba sana.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kucheza pool table unaweza ukawa unaingiza hela nyingi sana kwa siku

    Money is earned not won.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Pole sana, Dunia hii unaweza kudhani una matatizo,kumbe wapo wenye matatizo zaidi. "Usiombe,usishawishiwe wala kujifunza kamari" "Money is earned,not won"
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Njoo Tanga achana na Ubenani huko,Mimi nimezaliwa hapo....Au Zanzibar njoo nikuoneshe Cha kufanya.
Back
Top Bottom