Recent content by Emerad

  1. E

    "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Akijiheshimu kama yule kijana wa kule bukinabe naye atahesmika, Ili uitwe mheshmiwa ni lazima uitendee jamii mambo chanya vinginevyo utaishia kuitwa ndugu. Kwa hii Tanzania anayestahili kuitwa mheshimiwa ni warioba, ndio mzee pekee mwenye akili na utu na uzalendo
  2. E

    Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

    Serikali jengeni double roads Ili kiepusha ajali za uso kwa uso, viongozi mnakalia wizi tu, mnanunua malori na mabasi yatatembea kwenye njia gani? Kwakweli nyie mmekosa uzalendo kabisa.
  3. E

    Tetesi: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ahusishwa na Kutekwa kwa Mdude Nyagali

    Kama mnauhakika kaua na nyingi mwueni homera. Wakakutane mbele.
  4. E

    Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

    Ukiona mtu anatumia nguvu kufosi mambo ujue kwishney
  5. E

    Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    Ni kweli kabisa, kupiga kelele, kuandamana au kwenda mahakamani ni kupoteza mda wako tuu, kama unaona walioshika dola wanazingua ua kiongozi mmoja baadq ya mwingine kimya kimya,kwa sumu, kwa risasi kwa kumloga kiongozi husika, mbona watanyooka. Lakini hii njia ya kubwabwaja kwa watu...
  6. E

    CCM Mnapeleka wapi Fedha mnazopata kwenye Makaa ya Mawe Ruvuma? Wananchi tunataka kujua mnalipa kodi kiasi gani? Mmefanya Mradi upi wa CSR?

    Unaonekana umetokana na uzao wa mashetani na mwanadamu, inakuwaje huna uchungu na Mali za umma, wewe huna roho ya mwanadamu!
  7. E

    PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Wewe ni mtu mpumbafu kabisa, sijui akili umeziacha wapi? Mambo ya hovyo yanayotendeka Tanzania huyaoni?
  8. E

    PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

    Wanamwingiza chaka bibi, wanaongeza chuki za watz dhidi ya serikali
  9. E

    Rais Asiwatishe Viongozi wa Dini wanaoihubiri Haki, Viongozi wa Dini msitishike, tangu Adamu Jukumu lenu lilikua ni Kupigania Haki, Kuonya

    Huyu bibi asitufanye sisi kama wanasesere, tunajua uweze wake ni mdogo, ndio mana serikali yake imejaa wezi na kuwakoromea hawezi, binafsi ananikera sana!
  10. E

    Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

    U Ukiona mama hakemei wizi naye yumo humohumo, jamani huyu bibi ni janga la taifa
  11. E

    BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    Nunueni dhahabu iwe backup ya shilingi, punguzeni riba kwa mabenki ya biashara Ili watu wawekeze zaidi na tuuze kwa wingi inje, process za kupata mikopo ni ngumu sana, na masharti kama ya waganga wa kienyeji, na haitoki kwa muda. Kamateni wote walioficha fedha Ili kuwepo na mzunguko mzuri
  12. E

    PreGE2025 Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi

    Kufisadi Mali za umma unaona sawa? Kweli wewe unaroho ya kishetani kabisa na hujitambui kabisa, yaani Mali za watanzania wachukue wageni wewe unafurahi!
Back
Top Bottom