Recent content by Emeka45

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kagera: Rais, serikali haitajenga nyumba za waathirika wa tetemeko. Azuia msaada wa chakula Missenyi

    Mie naona wengi humu mnajaribu kupingana na kauli za mkuu wa nchi. Em niwakumbushe kale ka msemo ka asiye sikia la mkuu... Huvunjika guu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu Rais tulibipu tukaingia, na sasa tunabipu kutoka

    Viwanda, ajira kwa vijana, mikopo elimu ya juu, maji, dawa, kodi juu, n.k. Vyote vimegeuka kua hewa....
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

    Nirahisi kuzungumza tu, kama ulivyo sema hapo, lkn ktk utekelezaji sisi watanzania bado! Dunia ya sasa imekua kijiji kwani mataifa yote yanategemeana na ukweli nikwamba... Mataifa yenye uchumi mkubwa ndo kimbilio kwa kila mtu...hivyo basi Tanzania bila misaada haiwezekani kwasasa, labda baada ya...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Lowassa akapelekwa mahakama ya mafisadi, UKAWA wenzangu hamtalalamika kweli?

    Kwani lowasa ni fisadi???
Back
Top Bottom