Basi ni bora wasihangaike kuweka namba za simu....waseme ukitaka huduma yao nenda ofisini kwao ....kuliko kuweka namba nyingi ambazo hazina maana kabisa. Inaboa sana.
Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi.
Tumeanguka katika nyanja nyingi lakini mie napenda niongelee moja au mbili, ambapo nitaanza na nyanja ya...
Wote tunajenga nchi moja, mwanajeshi au askari hapiti kwenye barabara ya jeshi tu, kula chakula cha jeshi pekee, kutibiwa na daktari wa jeshi pekee, kusomesha watoto wake kwenye shule za jeshi tu....na hao wote anaowalinda katika taifa pia wanamlinda yeye kwa kuhakikisha anapata kila...
Hivi hiyo Google mnaiaminia sana kama vile lazima kila kitu kiwe huko....amini hizo data mnazopata huko zimewekwa na watu kama mie na wewe...turudi kwenye za kuambiwa....kwa maana kuwa utajiri ni siri(code) na haitamkwi kirahisi namna hiyo, iwe safi au chafu na hata huko google au kwenye vitabu...
Hizi ni siasa ndugu....tuchukukulie baada ya yote ya kiserikali tra, osha, halmashauri na mengineyo kulingana na kazi yenyewe tuje kwenye uzalishaji na tulipe hiki kima cha chini kisa ni kiwanda unadhani tunatoboa....mara nyingi unapoona hizo kazi zinatangazwa au zinakuwepo mtoa kazi anasema na...
Sorry huenda ukaona ni mateso...lakini changamoto tuliyonayo wengi ni kudhani kisa unafanya kazi basi mshahara bora na maokoto makubwa ni haki yako, kila sector binafsi unayoona nyingi katika hizo zinapambana katika level yake kuwa hapo zilipo....kama unahisi ni rahisi upewe wewe uone kama haifi...
Matatizo yapo chungu nzima na wote tunayajua na njia za kuyatatua zinajulikana......Ondoeni posho, ruzuku na mishahara ya kujipendelea tuone wangapi mtasimama kuwapambania wasiokuwa nacho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.