Recent content by Emar

  1. Emar

    Ana nini huyu Mke wangu?

    Pumzika , kukomoana ndo mwanzo Wa kuvuruga mahusiano
  2. Emar

    Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Uyu professor ushuzi anaandika nyuzi aftatu zote uongo
  3. Emar

    Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

    Vijana wake 70 ni Kataa ndoa, wakati wameoa na mitoto mitatu mitatu. Wote ni mabingwa na mafundi wa kuchakata mbusususu. 90%hawamkubali bashite Wote Wana connection na michongo ya maana -Rais wao ni Mshana Jr jamaa anakubalika sana Wote et hawamkubali Lucas mwashambwa , Mtu anayefuatiliwa...
  4. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Kweli kweli dah, asieee pia asije kuwa kaleft group
  5. Emar

    Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

    Hivi kule kilimanjaro marangu upajua kweli
  6. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Mzee unaogopesha,ila ndoa ni jambo jema
  7. Emar

    Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Mm baba watoto wako,nakiri ulikuwa mtamu sana,Sema ulikuwa na kiburi
  8. Emar

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Apeleke watoto KWA wazazi wake kama wazazi wanaeleweka, awawekee mdada wa kaz I awahudumie ,avunje aina zote za mawasiliano, aende ustawi aeleze apewe haki ya malezi, Maana wanawake ni wachawi sana,usikute anapima upepo aongezewe hela
  9. Emar

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Ndivyo wanaume tunapaswa kuwa
  10. Emar

    Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Narudia tena wanao wanahasara, Wewe unahisi pesa ndo malezi🙄🙄 Kazi kweli kweli kumpata baba wa ovyo kama ww
Back
Top Bottom