Najua zinapatikana machinjio ila demand nilokuwa nayo imekuwa kubwa compared na machinjio ambayo nachukua , ndo maana nimeshare tangazo kama kuna mtu anazo au anafahamu exactly machinjio gan napata uniunganishe
Bull forge ni kampuni inayojishughulisha na ununuz wa bidhaa mbalimbali za ng'ombe.
Tunanua Ngozi kavu pia pembe za ng'ombe.
Mwenye nazo tuwasiliane
0713879793
0689529041
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.