Recent content by EMANUEL PANGA

  1. EMANUEL PANGA

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    ni kweli hauna namna ingekuwa hakuna vibaraka hawa majamaa wangemalizana wenyewe shida kubwa ni marekani ndy tatizo hii vita marekani anamkono upande wa tigray unajua Ethiopia ina uchumi mzuri pili mto Nile nayo ni shida nyingine kwa upande mwingine ni mzozo nayo wanamfanya abby wampunguze nguvu...
  2. EMANUEL PANGA

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    katika vita yoyote inayotokea kuna mtu yupo nyuma yake watigray lazima kuna adui wa Ethiopia anawasaidia alafu kitu kingine hizi vita ni kwa sababu ya kurudisha nyuma uchumi wa ethiopia vita sio jambo la msaha watigray wanafanya kwa sababu kuna adui anawasaidia sasa adui hana uwezo tena wa...
  3. EMANUEL PANGA

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    abby kwanza namkubali kwa maamuzi mazuri aliyochukua pili sio mtu anayependa vita hapana wajinga hawa ndy wakaona huyu jamaaa wakimmwingilia kijeshi unajua wajinga hawana shida maana hakuna uchumi ambao wanao utakaoterereka ni uchumi tu wa wa Ethiopia tu lakini ujikirudi nyuma ndani ya nchi kuna...
  4. EMANUEL PANGA

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    namkubali abby abby kwa ushujaa wake pili kuwapa jeshi ujuzi wa kuwanyoosha hawa wajinga wawafuate hao wajinga wenzao ..nchi yoyote duniani haitakaa ikubali jimbo itawale ndani ya nchi ni ujinga ,trigray ni nani wawatawale serikali kuu kwa sababu wana mtu wao huko juu nyoosha abby waEthiopia...
  5. EMANUEL PANGA

    JamiiForums Tanzania Nini malengo ya Serikali kwenye hii bomoa bomoa ya Kimara hadi Kibamba!!?

    Kila jambo lina wakati wake [emoji115] nchi yetu maisha ndy haya tumwanchie mola Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom