hoo kamati mnafikiri harusi hii kutaka kumwoa mwali TANZANIA,i wish ungetambua maana ya demokrasia usingezungumza unafiki.pole sana ccm, SAFARI HII KAMPENI PIGIENI WAKE ZENU NAAMINI MTAFANIKIWA
Shida yenu CCM mnafikiri nchi hii sasa ni kama mke wenu mnatenda ujinga mnavyotaka.najua kuwa mnahofu kwamba kama nchi itakwenda upinzani ulaji wenu wa kisanii ndio utakuwa mwisho
Shida hoja bwana mdogo unafikikiri mabavu ya ccm yanaweza kuvisumbua vyombo vingine TBC hawana hadhi wanayopewa.TBC ni sawa na uhuru kama ivyo yaani,mi nikushauri,be gentlemen na zungumza ukweli panapo bidi
ITV ni super brand no 1. uache ushabiki mwenyewe,kama unafikiri maendeleo ya mtanzaia mmoja ni ahadi za kunguru kuwa kunasiku atakunyea mkate imefika mwisho.Itv nawapongeza sana na watanzania tunatambua mchango wenu,asante kama nimekukera MCCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.