Recent content by emalau

  1. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Hahahaaaa
  2. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Asante sana ndugu, nitakutafuta kwa msaada zaidi.
  3. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Thanks, nitakuja inbox tupeane michongo
  4. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Asante mkuu, kwa ushauri, ikibidi nitaomba ushauri zaidi.
  5. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    so you know each and every business just because you have the money? I find your argument ridiculous.
  6. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    B Be open minded, siyo kwamba sina shughuli ya kufanya, i'm a consultant shughuli ambayo ni highly taxed lakini pia hela yake inaingia kwa msimu. Nataka kufanya shughuli tofauti ambayo inaweza kuwa na regular income
  7. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Hahahaaa, aya bhana
  8. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    asante sana ndugu
  9. E

    JamiiForums Tanzania High income generating, low investment capital

    Wakuu kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu nimejifanyia analysis kujua kwa nini nina income kidogo ukilinganisha na mahitaji ya kila mwaka. Katika kujifanyia fair anaysis nikapata vikwazo saba, one of them is that I'm not engaged in high income generating activities leave alone lacking regular...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Well said, tena uvuvi ni kamali ya hatari sana
  11. E

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Umesema vizuri, hii kitu inahitaji kupata elimu kwanza, kudhibiti tamaa ni msingi mku wa mafanikio. Kwa bahati mbaya wabongo sisi ni wavivu kusoma.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Hiyo hela ni ndogo sana kwa fixed deposit. Sijui una umri gani, kama ni kijana kuweka fixed deposit ni uvivu wa kufikiri. Changamsha akili fanya biashara huo ni mtaji tosha.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio China, nataka kuagiza gari

    Ingia kwenye alibaba.com utakutana na suppliers kibao. Cha msingi asikwambie mchati nje ya alibaba platform kama whatsap. Uzuri wa alibaba anakuwekea insurance na anachaji about 3% ya transaction
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 25 - 30

    Uvuvi hasa katika ziwa Victoria ni kichefuchefu kwa kuwa ziwa kwanza halitabiriki. Wavuvi wanaweza kwenda limetulia wakifika huko upepo unageuka unapuliza mbaya inabidi warudi, wakati huo ushaweka mafuta kwenye engine na chakula cha wavuvi. Kingine ambacho watu hawakijui ni kwamba ndani ya ziwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 25 - 30

    Nakushukuru sana japo nina uzoefu kidogo na shughuli ya uvuvi, nina mitumbwi na engine za boti 4 kwenye ziwa Victoria lkn naona ni kama kichefuchefu. Lakini kwa kuwa umeleta wazo la kukodisha si kuvua ngoja nilitafakari. Shukrani sana.
Back
Top Bottom