Recent content by emakungu

  1. E

    CCM chama bora cha siasa duniani

    Hakika kabisa. CCM hii ya sasa imebadilika na inaendelea kubadilika na kuwa imara kabisa. Wananchi wengi wana imani na CCM ya sasa. Hongera nyingi kwa Mzee wa mabadiliko ya kweli yenye tija kwa taifa letu.
  2. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Halafu ukisema tunachojua unamaanisha kina nani??!!! Nafikiri itakuwa walewale tu wasiotaka kujua hata wakijulishwa hawajui kuwa hawajui na hawataki kujua. Wengi wanajua kinachoendelea na wanaendelea na mambo yao.
  3. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Unavyoonesha hauna taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi. Vuta subira tu sugu mwenyewe au mbowe wameahidi kuongea na press at any time then utashibishwa usichokijua.
  4. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Labda umesahau kuwa tarehe 26042018 ilikuwa ni muungano day na rais wa JMT alitoa msamaha kwa wafungwa kwa vigezo vilivyoelezwa wazi. Walionufaika na msamaha huo ni pamoja na sugu na mwenzie. Wapo waliotoka kesho yake tu na wengine wataendelea kutoka kadiri siku za hukumu zao zinavyosoma. Hii ni...
  5. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Kivipi clouds wamepotosha ukweli? Na ukweli unaojua Ww ni upi basi tupe nao tuujue.
  6. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Hivi kwani Magufuli ndie alikuwa hakimu siku ile ya kutoa hukumu??!!!
  7. E

    Sugu hakutoka kwa msamaha wa Rais, katumikia siku 105 sawa na zaidi ya theluthi mbili ya kifungo chake cha miezi mitano

    Hayo ni mawazo yako ambayo nakuona umefikia mpaka hatua ya kuwa msemaji wa sio tu sugu na familia yake Bali hata jeshi la magereza pia. Huku ni kujidanganya sana. Leo hii mapema asubuhi Clouds wameongea na mkuu wa jeshi la magereza nchini kaelezea kwa ufasaha kilichowatoa sugu na mwenzie Leo...
  8. E

    Magufulization Lands Tanzania World's Fourth Fastest Growing Economy

    Kinywa hunena kile kilichoujaza moyo wake. Na kamwe huwezi kuuimba wimbo usiojua.
  9. E

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga waachiwa huru baada ya kutumikia kifungo

    Ila wandugu kuweni makini sana na ufuasi wenu. Mnazidisha mapenzi wakati taarifa rasmi za matukio hamtaki kuzichukua. Huo ni unyumbu kabisa. Sugu hajafikisha miezi mitano. Sitaki kukuambia ametokaje sasa kama hajatimiza miezi yake mitano ya hukumu. Jiongeze tu. Na mwisho Ww na hao unaowashabikia...
  10. E

    Facts: Kwanini Rais Magufuli atashindwa vibaya

    Wasomi wa bongo mna mambo sana. Eti wasomi!!!!! Hahahhhahhha. Wasomi wasiwasi umetujaa. Dah. Haya msomi fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke apate kitoweo.
  11. E

    Hayati Dkt. Magufuli, Watanzania kila kona ya nchi wanakulilia wewe, imekuwaje?

    Watanzania kila kona ya nchi????!!!!!! Si kweli. Labda kinyume chake watanzania kila kona ya nchi wanamsifu sana.
  12. E

    Rais kushindwa kutumia gari la wazi leo Dodoma ni ishara kuwa hatuko salama au ametishwa?

    Ila kwa hakika watu wachache sana wanajitahidi sana kwa kelele nyingi tu kumkatisha tamaa rais asitimize vema majukumu yake. Hili jambo linaumiza sana. Kama binadamu kuna wakati unatamani urudi nyuma uachane tu na hizo kelele. Lakini wengi tunamsupport asikate tamaa azidi kupambana kwa akili ya...
  13. E

    Rais kushindwa kutumia gari la wazi leo Dodoma ni ishara kuwa hatuko salama au ametishwa?

    Polisi wamefanya wajibu wao. Ila sijajua wale waliotaka kuandamana wameishia wapi??!! Si mange alisema wasiogope watoke tu wakaandamane.
  14. E

    Rais kushindwa kutumia gari la wazi leo Dodoma ni ishara kuwa hatuko salama au ametishwa?

    Hahahhahhhhahhaaa. Unatisha. Walimuacha dada yule peke yake maskini.
Back
Top Bottom