mimi nafikiri lipo tatizo. Kuendelea kwenu kuzungumzia habari ya udini ni Picha tosha kwamba hata nyinyi mnaojadili mmekumba au kuathirika na tatizo la udini na mwisho mtatukanana. Ushauri wangu acheni ushabiki kwani Mungu hasaidiwi na mwanadamu. Alafu kiongozi Mwenye kufokea udini hasiruhusu...
ndugu yangu unajua ukisema wivu wakike unakosea. Kwani wanachofanya Chadema nimadai ya msingi Kwa manufaa ya Taifa. Uwezi kutangazwa umeshinda Kwa kulazimisha ukategemea kukubalika ktk kila eneo. CCM walichofanya sio demokrasia Bali ni mabavu na tamaa ya madaraka. Ambayo mwisho wake uzaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.