Recent content by Em01

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why hampo serious nyie wanawake wa humu?

    Nimejaribu kutafuta mwenza humu lakini wapi naona wanawake wengi hawapo serious. Anakutafuta dm anapotea ghafla mara mwingine anaanza kupiga mizinga hata hamjuani, mwingine anakuomba picha ukimtumia yeye hakutumii halafu anapotea, halafu wanawake hao hao ndio wa kwanza kulalamika wanaume wabaya...
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitanda vya zege vinaimarisha ndoa

    Natengeneza kwa bei poa kabisa
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna mwanaume humu ambae alishawahi kukutana na mkasa km huu na je ulichukua hatua gani?

    Habari za wikiendi wapendwa. Kuna jambo lilishawahi kunikuta linanitengenezea maswali mengi kichwani yasiokua na majibu sahihi. Nilishawahi kua kwenye mahusiano na mwanamke fulani kama mnavyojua katika zile harakati za kupeana maraha faragha nilistajabishwa sana na hali niliokutana nao mpk...
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Mi kijana umri miaka 33. Naishi Moshi..natafuta mwenza wa maisha ambae atakua mke tuwe na familia mungu akijalia. Mwanamke ambae mwenye uhitaji wa mwenza wa maisha alie serious tuanzishe mahusiano yenye malengo sio wa kupotezeana muda anicheki Inbobo tuyajenge.
Back
Top Bottom