Recent content by elvis richard

  1. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi

    Ndugu zanguni naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi karibuni. KWA KUANZIA NA AIR COMPRESSOR yenye ubora hasa ni ipi ? 1. Vigezo vyake kuanzia ujazo na hp yake pamoja na brand ipi ni nzuri ? 2. Biashara yangu hii nataka kuiweka kwenye sheli moja hapa town...
  2. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    namaanisha kumpata mwanamke
  3. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    yeah..it makes sense.
  4. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    ujinga siuachi...hii kitu inanitokea now baada ya kuoa,,na si kwamba pesa ndo zipo sana tofauti na nilivyokuwa single.
  5. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    kwani hiyo inamantiki gani kwenye hili mkuu
  6. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    mhhh..aiseee
  7. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    [emoji848][emoji848][emoji848] inawezekana
  8. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mzee baba,,,mimi nimeongeq hivi coz kabla sijaoa nili hustle sana...lakini saivi nimetulia na mke wangu ndo naona vidada vinajileta mpaka uvumilivu nahisi utanishinda
  9. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    mhhh ..hii imekuwa ngumu kumeza
  10. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    owky...hii ime click kwa kiasi fulani
  11. elvis richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano. Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo. Hii kitu imekaaje wataalamu?
  12. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    unaweza kufanya vyote kwa wakati mmoja, hakuna kizuizi
  13. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    haina madhara
  14. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    nilitumia virutubisho maalumu pamoja mazoezi maalumu yanaitwa kegel exercises.
  15. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikikutana na mke wangu anapata fangas

    inawezekana pia huwa unatumia mate kama kilainishi..huwa kinasababisha fungus pia...kama si hivyo basi wewe pia una maambukizi.
Back
Top Bottom