Recent content by ELVINE

  1. E

    JamiiForums Tanzania clinical officers and medicine????

    kabla ya kuchangia ni vizuri kwanza ukawa na uhakika na unalolifanya clinical officer ni dipl in clinical medicine: AMO ni Higher dipl in clinical medicine: vigezo vya kusoma CO/AMO Ni form4 na form6 lakini kutokana na ushindani wanafunzi wanaochukuliwa wengi ni form6 na AMO nilazima awe...
  2. E

    JamiiForums Tanzania watu wa nacte na mkopo

    ndugu zangu tusome tuliopata mkopo
  3. E

    JamiiForums Tanzania watu wa nacte na mkopo

    ndiyo mimi nimepata mkopo nili apply kupitia nacte co md
  4. E

    JamiiForums Tanzania waitim wa vyuo wengi wao hawana weredi wa kufanya kazi hivi nani alaumiwe?

    Napenda kuwashirikisha ndugu zangu katika hili tuache siasa na tusimamie ukweli. Ninao ushahidi wa kutosha juu ya hili mwanafunzi wa dipl ya nersing hajui hajui hata kutoa first aid kwa mgojwa hata dose ya dawa hajui sio mmoja hii ni mefanya kwa watu 5 tofauti.DR (AMO) hawa nao noma c.o awajui...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Clinical medicine na diploma ya pharmacy

    Chukua CM kwakuwa una weza kusoma MD kama utafanya vizuri class na job op ni kubwa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atakubali kuundwa kwa Tume?

    Hivi kilakitu nitume? Watu wanakufa kwa kukosa dawa hosp.Mbowe anatakatume kama anaushaidi kwanini wasiweke wazi hata kwenye tovuti yao hili watu tuone na kuchukua hatua sisi wananchi ndiyo wenye mahamuzi ya mwisho 2015
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    Pole sana jembe mungu yuko na ww
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    Hacha kuwa mvivu wa kufikiri sio kila jambo tunafanya uCCM na uCDM fanya utafiti kwanza
Back
Top Bottom