Recent content by elnino

  1. elnino

    Nahitaji mayai ya Bata Mzinga

    Asante sana mkuu, ngoja nifanye utaratibu wa kufika hapo Mbagala. Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  2. elnino

    Nahitaji mayai ya Bata Mzinga

    Okay, ngoja tuwasubiri Mimi Dar es salaam, kama napata mayai popote Tz hakuna tatizo sababu usafiri upo, kikubwa uaminifu tu. Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  3. elnino

    Nahitaji mayai ya Bata Mzinga

    Habari wakuu, Nahitaji mayai ya Bata mzinga ambayo yanaweza kutotoa vifaranga (fertile eggs) Mwenye nayo au mwenye kujua wapi naweza kupata naomba tuwasiliane kwenye namba 0785 670 266. Mimi nipo Dar, kama una hayo mayai popote pale Tz tuwasiliane wakuu Natanguliza shukrani zangu
  4. elnino

    INAUZWA 1KW Boss Generator linauzwa bei ya kutupa

    Duh! Unauwa Boss Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  5. elnino

    INAUZWA 1KW Boss Generator linauzwa bei ya kutupa

    Mkuu ongeza hiyo 50k iwe 200k tumalize biashara. Nakuuzia ikiwa full tank lita 6 unaenda kuwasha tu na kuanza kazi Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  6. elnino

    INAUZWA 1KW Boss Generator linauzwa bei ya kutupa

    Picha zaidi Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  7. elnino

    INAUZWA 1KW Boss Generator linauzwa bei ya kutupa

    Habari wakuu, Nauza Petrol Generator ndogo 1kw, aina ya Boss. Generator limetumika miezi minne tu, nauza sababu load imeongezeka so nahitaji Generator yenye uwezo mkubwa zaidi. Bei Tzs 200,000/= cash Location: Bunju B Mawasiliano: 0785670266/0756087894 Karibuni sana Sent from my SM-A115F...
  8. elnino

    Natafuta trays za mayai za PVC

    Habarini wakuu..! Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua sehemu ambayo naweza pata trays za mayai za PVC. Natafuta trays hizi kwa sababu zinarahisisha usafirishaji wa mayai
  9. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    hah hah hah next time tumia namba yangu ya simu ndio huwa faster zaidi kuliko hata speed hii ya light:):D nitakuletea mkuu wala usijari
  10. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    Amen mkuu! na wewe uwe na jumapili jema yenye baraka tele.
  11. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    Karibu sana mkuu na heri ya jumapili! mayai yapo ni wewe tu uniambie unataka kiasi gani na unapatikana wapi nikuletee leo leo
  12. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya

    Wote mnaendelea ku-order nashukuru sana, karibuni na wengine tujenge afya zetu kwa protini nzuri na rahisi inayopatika kwenye mayai ya kuku wa asili (kienyeji)
  13. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    Karibuni jamani, naamini waliokwisha yatumia tangu week iliyopita watakuja na mirejesho chanya hapa. WEWE UNASUBIRI NINI?
  14. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    Karibuni sana wana JF, KIZURI SHARE NA WENZIO!!!!
  15. elnino

    Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya - 2

    Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya kienyeji kutoka shambani kwangu. Habari njema ni kwamba, mayai ya kienyeji ( fresh) bado yanapatikana kwa watu wote...
Back
Top Bottom