Baba wa taifa alisema"KILIMO NI UTI WA MGONGO" hii inamaana ya kwamba kilimo kinawezekana kwasababu resources zinazotumika hazina gharama tumepewa na mungu na nchi nyingi hapa duniani kilimo ndio kimekuwa chachu ya kukua kwa uchumi,mfano mzuri ni nchi kama ya china ni miaka kama 40 iliyopita...
Halo tanzania,its again me insisting on 2010 general election,tusifanye makosa tena huu ndio wakati wa kufanya mabadiliko katika uongozi wa nchi yetu,usichague chama bali kiongozi anayefaa by consideration ya kwamba hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu.
KILA LA KHERI WATANZANIA WENZANGU.
Halo watanzania habari ?halo guyz lets together join our effort to save this planet because nowdays there is huge effect on climatical change ,why dont we live in conserving way in this world?for those farmers like me lets together practice conservation agriculture through organic farming to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.