Wapendwa naona hapa imekua mada ya Siasa zaidi hapana , tufanyeni maendeleo Siasa tuache wapendwa ninaposema Lema na Nasari ni kwamba ni Majimbo ninayo pita kila kukicha kwani naumia sana mnapo changisha Wananchi wakati Mishahara zaid ya mil 10 kwa Mwezi manpokea tena Saboodo Katoa visima Vya...
Jana tarehe 26 dec 2013 nikiwa na rafiki na badhi ya ndugu tulimsindiliza Mwenzetu kulipa Mhari uko Marangu Mtoni Ndani Ndani kabisa. Ilikua Kama Tour kwangu na badhi ya wanandugu kwani ilikua kwa mara ya pili tunafika Marangu. Pongezi zangu ziwafikie Wananchi wa Maeneo Husika kwa Kumchagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.