NAMUUNGA MKONO HUYU
Kwanza pole sana.
Jambo la kufahamu ni kuwa mwanadamu yoyote yule. Anapofanya jambo huwa anataka kuona matokeo ya jambo hilo iwe kwa ubaya au kwa uzuri na pengene hali hiyo inaweza kutokea hata bila ya yeye kujua
Kukupigia simu na kukutumia sms kuna mambo mawili. Moja...
Kuna tabia ya 1. kubadilika taratibu 2. kubadilika gafla.... Najua unajua mume wako alibadika kwa namna ipi.... Binadamu hatupendani
Zidisha maombi kwa mwezi mungu (pole na mkasa)
Inawezekana alikuwa anapima kina cha maji.... Na umemunesha kuwa ni kirefu
Kama sababu ni hiyo ya kumuacha mrudishe nyumbani maisha yaendelee ametambua kosa lake
Nimejaribu kusoma kisa chao ila nimebaini kuwa...uamuzi umeshaufanya (utaki kuishi na uyo mwanaume tena na wala utaki kumuona) kwa mtazamo wangu ilo ni wazo zuri sana uwezi kuwa na kidonda alafu ukamruhusu inzi akifyize atasababisha upate kansa ( mm nakuunga mkono tu)
Sent using Jamii Forums...
Inaweza kuwa mtoto ni wako lakini mama wa mtoto hana malengo na ww alikuja kwako tu kwa mpito kwa sababu mzee aikuwa kozi....kwa mtazamo wangu haina maana ya kujipendekeza ww mwanaume kizazi hakichoki....
Pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.