Recent content by ellybululla

  1. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Kanisa limepiga marufuku wanasiasa kusalimia kanisani, wamekosea sana

    Ni kuoneshana makali tuu
  2. ellybululla

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri na Kamishna wa Elimu wameshindwa kusimamia mwongozo wa likizo? Wanafunzi walazimishwa kusoma wakati wa likizo

    Kiukweli ni kwamba siku 194 za masomo kwa mwaka mzima ukilinganisha na Mada zilizopo kwenye masomo na uelewa wa watoto ambao wakirudi nyumbani ni kama anaenda kufuta kila kitu na maisha nje ya shule ( tv, ps, uzururaji, wengine kazi za muda mrefu majumbani, biashara, michezo) ni haki muda wa...
  3. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Share Idea yako unayotumia kuweka akiba

    20% 30% 50 %
  4. ellybululla

    JamiiForums Tanzania 2023 Achana na kutumia vibubu kuhifadhi fedha, tumia njia hizi

    Na ukitakaa toaa makato yanahusika
  5. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Ingia 2023 na Siri ya kutunza Siri ili malengo yako yasiharibike tena

    Funzo safi sanaa tuishi nalo 2023
  6. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Kwa sister marion
  7. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Nimejifunza uchoraji pale alikuepo artist mmoja anaitwa jacky vipaji vimeibuliwa sanaa pale kulikuaa na team za mitaa za mpira wa miguu
  8. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Wale wa majita road vibanda umiza ni kwa eddy na bavoni
  9. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Tuliokuaa tunaenda diocese kucheza keram
  10. ellybululla

    JamiiForums Tanzania ZFDA yateketeza tani 42.5 za mchele ulioharibika Zanzibar

    Kuna watu huko somalia wanatamani wapate ata huo mbovu
  11. ellybululla

    JamiiForums Tanzania ZFDA yateketeza tani 42.5 za mchele ulioharibika Zanzibar

    Wangewapa kuku
  12. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Rais Mama Samia kuwa makini na hili zuio la Polisi kuhusu Pasaka

    Ukizuia watu hawa kupiga kelele mawe yatapiga kelele
  13. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Akutwa amekufa pembeni kukiwa na ujumbe ‘mke wa mtu ni sumu’

    Mwisho wa siku mbinguni hakuna kuoana daaah
  14. ellybululla

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Hudhuria misa takatifu na sikukuu zilizoamriwa Funga siku ya jumatano ya majivu husile nyama siku ya ijumaa kuu Ungama dhambi zako Pokea ekaristi takatifu Saidiaa kanisa kwa zaka Shika sheria katoliki za ndoa Nje ya hapo utazikwa na manispaa
Back
Top Bottom