lugha ina umihimu wake na sayansi ina umuhimu wake, kwasasa ki ukweli tunahitaji sayansi zaidi ili tujikwamue na uchumi mbaya. mimi nina Bsc na kazi yangu ni kuandaa watu watakaoenda kuchepukia fani za kitaalamu km udaktari, ufamasia na afisa kilimo/mifugo je hayo si ndio tunayahitaji, tujifunze...
Hivi karibuni baada ya kupata usumbufu wa traffic polisi kudai sticker za fire pamoja na kuonyesha mtungi wa fire extinguisher niliamua kwenda kupeleka mtungi ule kukaguliwa ili nipate sticker. Afisa mkaguzi akaniambia nitoe 20,000 nikakumbuka mara ya mwisho nilikata kwa 5000. Nilipouliza...
watu wengine ni mypic sana, huyu nyimbo alitaka chama kimpe nini? Na hao aliowataja wanafaidika na nini? Nadhani siasa inafanywa kuwa ni ajira, kama haupo kataika uongozi basi kupiga domo hakuishi, nadhani nyimbo hana ajira kwa sasa kwa hiyo alitaka mgao kutoka chama ambao haupo.pole sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.