CDM ni chama makini, chenye kupanga na kutafakari nani anaweza vaa viatu vya Dr. Slaa. Nina imani jina litakalotolewa litakuwa ni mwanzo wa mapambana ya kuendelea kuimarisha chama.
Maji yamewafika shingoni sasa wanafunuliwa mchana kweupe ndani ya nafsi zao wanachokifikiri na kukipanda. The anticipation of death is worse than death itself...
CCM hamna tofaiti na magaidi, vikundi kama Alshabab, Bokoharam na wengineo sababu hu ujumbe mliupanga ni wabuguzi na mnajulikana. Wanasema maana ya kifo ni ngumu kuliko kifo chenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.