Recent content by elixer of life

  1. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Imani za Jamii kuhusu uaminifu wa mwanaume wakati wa ujauzito: Ukweli au Dhana Potofu?

    Nimeona watoto kama hao wanaozaliwa wakiwa wazazi wao wapita michepuko
  2. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Imani za Jamii kuhusu uaminifu wa mwanaume wakati wa ujauzito: Ukweli au Dhana Potofu?

    Kama ilitokea kuchepuka either mke au mume kuna namna mtoto anaoneka haswa kwa watu wanao ona, kuna alama fulani huwa zipo wazi wazi.
  3. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

    Ndoto hiyo ina maana nyingi, jaribu kujiuliza sasa hivi upo na situation gani.
  4. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  5. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?

    Kwa waumini sio mbaya kusali dini tofauti tatizo ni mitazamo yetu
  6. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wamerogwa na wengine wamelaaniwa lakini hawajitambui

    Umeongea ukweli..
  7. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Naumwa naombeni msaada

    Kuna kifua kikuu na homa
  8. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

    Mwambie anitafute vitu walivyoshindwa wengine ndio napenda
  9. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa inatokea unamuota mtu ambae umekwisha achana naye?

    Spiritual connections ndio ina power sana kwenye swali lako, roho inajua inachokifanya
  10. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  11. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuanzisha naye duka la Gemstones

    Habari wanaJF, Kichwa cha habari kinajieleza natafuta partner ambae anajua mambo ya precious stones tuanzishe duka la kuuza vito vilivochongwa kama upo interested njoo pm. NB: Hakuna ujanja ujanja.
  12. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

    Je ulaji wako usawa.
  13. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Napata mawazo ya kujiua. Nifanyaje yaishe?

    Kujiua ni hatari, ila kuwa depressed ni mbaya zaidi, anza kusali tembelea ndugu zako wa karibu ila nikwambie hiyo ni kawaida ya kila mwanadamu kuwa na low vibration pia jitahidi ukiwa kwenye hali hii soma au andika note au chora
Back
Top Bottom