nmesoma.comenti nyng humu ni nzr sna! kama una hela fanya na usiogope maana ukiweza kupakia sem moja ya tan 30 ya mahnd kufika kenya hasa isebania utauza na ndo weng kwa mwaka jana walikuwa wanapeleka yaan mtu anatoa mahnd mbozi mbeya anapeleka isebania kenya iko mpakan sirari hapo wamepiga...
oooh mkuu bado nadunduliza kdogo mahind, nina kijana ananunua nauzia kahama kwa bei ya jumla mkuu, changamoto ni kwamba kijana hana kasi inayotakiwa maana analeta mara moja anakimbia kwa mke anakaa wk mbil lkn ukiwa na mtu mwnye kujua thaman ya mda ni biashara nzr sana na kama ww ndo unaenda...
yaan hawa vijana ndo waionye chadema na hayo mamlaka yametoka wap, kuna mda UDSM miaka ya 2010 kurud nyuma ulikiwa ukionekana mwana ccm hupewi uongoz sasa hawa vjana yaan hawajielew
sjajua hyo mwalimu alisoma wap na ww ulisoma wap lkn ujinga wa mtu hautegemei kaz aliyonayo bal akili yake tu! mbona hata majaji wanahukumu kesi hata kama hujaenda shule unajua hapa kuna maelekezo
hii pesa ni nyingi sana kiasi kwamba kwa mwezi inaweza ingiza ml 3 kwa makadilio ya chini kama utaanzisha biasharq yq nafaka kwa kununua na kuuza kwa bei ya jumla! ninaifanya na ninaona matunda yake, mm ni mfanyakazi hvyo siend kununua mm ila kuna jamaa anafata mzgo analeta tunauza ni mwz wa pil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.