Recent content by elite16

  1. E

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Hapana nieleweshe, Na pia unijibu nilichouliza,nilikazia kua ujibu kwanza maana mara nyingi hua haujibu unachoulizwa Straight kama nilivyokujibu ulichouliza,na wewe unapaswa kujibu very straight haina haja ya kuzunguka sana na hio ndio njia ya kijadili kirahisi...mimi sifahamu logical...
  2. E

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Sielewi kitu kimoja kutoka kwako,mbona kama kuna imaginations ambazobunajiwekea kwamba ‘ilitakiwa kua hivi’ ndio unazilazimisha kua? Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na tsunami kwani ndio lilikua lengo lake hilo? Au lengo lake lilikua aumbe bila kuwepo mabaya?naomba unijubu hayo maswali...
  3. E

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Kwani mungu alitaka kusiwe na Tsunami au ni kitu umejiwekea kwenye mawazo yako?
  4. E

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Kiufupi ni kwamba alichosema mwanzo si alichotumia kukujibu
  5. E

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Kulitakiwa kua na perfection?kwa nini?na hio perfection ni katika kitu gani hasa?labda tuanzie huku
  6. E

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Ni rahisi sana kumuelewa prof hawking kuliko kiranga,nadhani kama ningekua naongea na prof mwenyewe tungeelewana zaidi maana binafsi hua naona kiranga anafanya mambo kua magumu bila sababu.
  7. E

    Funga domo lako kama unataka kuishi ukirudi Saudi Arabia

    Kwamba wanatakiwa wafanye lakini wasiwazidi Israel au sijakuelewa mkuu.
Back
Top Bottom