Wakati Tanzania ilipopitisha kura ya maoni kuhusu mfumo wa vyama vingi watanzania zaidi ya 80% walisema wanataka mfumo wa chama kimoja lakini wazee wa CCM wenye hekima wakiongozwa na mwalimu Nyerere walisema hapana tuwe na mfumo wa vyama vingi ilitupige hatua cha msingi hii nchi ni yetu sote na...
Sisi ilijambo tunalifanya sana katika shirika letu kwa kifupi strength ni kitu positive na kiko ndani ya organization na weakness ni mambo yote negative na yako ndani ya organization kwa mfano labda kwenye bunge letu mambo negative ni kama vile wabunge wa upinzani kupinga kila kitu cha serekali...
Sasa kama hali yake ya afya ni njema amekwenda kufanya nin sasa ayo si ndo matumiz mabaya ya fedha. mbona hata muhumbili wanafanya mpaka opereshen za kupasua vichwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.