Jibu Kwanza haya maswali :
1) Kuna uchunguzi wowote wa kitaalam uliofanyika kuhusu hii ajali?
2) Aliyefanya huo uchunguzi ni nani?
3) Uchunguzi ulifanyika lini?
4) Je, Uchunguzi ulibaini nini?
5) Je, Uchunguzi ulionyeshaje uhusiano wa kuanzishwa kwa Precision air na chanzo cha ajali?
6)...
Hata Mimi nimejiuliza malengo inayowekewa menejimenti ya bandari ni yapi na ya aina gani na kwa kipindi gani?
Maswali haya na mengine ndiyo ya kupima utendaji wa bandari.
Kama utendaji umepimwa ukaonekana ni hafifu, basi ni jambo jema kuja na malengo mapya na mkakati wa kuyafanikisha...
Kabisa mkuu.
Wakorea, Wachina na (na sasa Wafaransa), walishafanya clinical trials wakaridhika na uwezo wa chloroquine.
Marekani kaja dandia tuu-hawakuwemo!
Wamarekani siyo wajuaji wa kila jambo...In fact watu kutoka asia ndo wanaongoza kwa IQ kubwa duniani na marekani ni kama soko la...
Ni kweli anaheshimika na yawezekana amesema hakuna tiba.
Lakini Fauci hayuko kwenye kutibu (na pengine kwenye utafiti na majaribio ya dawa) covid 19. Ila China, na France wamefanya research na trials limited-as against wide trials- na wamejiridhisha hydroxychloroquine na chloroquine...
Kwa hiyo, hawa ndo "drivers" kwa namna moja au nyingine:
1. Mashinji
2. Mabeberu
3. Tundu Lissu (Kawasemea sana kwa mabeberu)
4. Zitto ( Kamuiga vyema Lissu nae kwenda kusemea kwa mabeberu)
5.....
Neno sovereign state ni neno rahisi sana kulitamka na kujivunia kwalo. Lakini kiuhalisia kuna states ambazo ziko most/more sovereign kuliko nyingine. Nchi powerful (economically, politically, and etc.) hazihitaji kusema ziko sovereign this, sovereign that.
Mdogo ana sauti lakini mkubwa ana...
Huyo chairman wao huwa anajichagua mwenyewe? Bwana yule ambae nae alijitosa uenyekiti akapata kura 50 hv kati ya 900 hv, kaishia wapi?
Sasa naamini ya kuwa bila ya watu fulani upinzani makini utakufa mchana kweupe kwa mashambulizi ya zama hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.