Recent content by Elisha kabombo

  1. Elisha kabombo

    TTCL yaomba Sh 1.7 trilioni kuboresha huduma zake

    Yataka moyo tutakuwa na macho lakini hatuoni tutakuwa na masikio lkn hatusikii tunapofikia ni hatua ya watawanye uwatawale Tunahitaji maombi
  2. Elisha kabombo

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    Hongera kwa hatua hiyo ya kikatiba hatutawafumbia macho wasaliti maana tunachotaka ni kusonga mbele tusikatishwe tamaa na umasikini wa fikira walionao wahusika tusonge mbele
  3. Elisha kabombo

    Je, Tundu Lissu kuwa chini ya uangalizi wa Polisi muda wote atakaporudi?

    Ktk fikila yangu hakuna nia njema kwa mh Tundu lissu Kama bado wasiojulikana hawajapatikana na bado ufumbuzi haupo tunalajia nini juu ya ujio huo haraka haraka haina baraka na subira uvuta heli tusubiri ufumbuzi upatikane na amani iwe huru zaidi
  4. Elisha kabombo

    CHADEMA: Taarifa Rasmi kwa Wandishi wa HabariKUTOJULIKANA ALIKO MDUDE NYAGALI HADI SASA

    Inasikitisha sana mwenzie kupotea paspokujulikana mikononi wa dora alfu unaona baadhi ya watu wanashabikia ni hatali jamani elewa tuko ndg moja tumeumbwa kwa mfano wake Mungu ili tupendane haya yote yanaisha kila nafsi itaonja mauti tumutafute huyo aliyetekwa apatikane akiwa hai huo ndiyo upendo...
  5. Elisha kabombo

    Askofu Mkuu Emmaus Bandekile: Mdude Nyagali/Chadema yupo wapi?

    Miaka ya kiburi inatusumbua tunasaau miaka ya kuishi duniani si nyingi ni miaka 70 ukiwa na nguvu ni miaka 80 na utakufa hivyo kila mmoja ataonja mauti onyo wale wote wanaofanya matendo haya hukumu ipo siku yao ya mwisho lazima utaulizwa mbele ya mungu wetu uliyoyafanya ktk miaka yako ya kuishi...
  6. Elisha kabombo

    CHADEMA wakiri kutoshirikiana na Zitto na ACT

    Alitufikisha mbali kweli inabidi kuchukuwa taadhali Sana kwa umakini zaidi
  7. Elisha kabombo

    Chadema Singida yapata mjengo wao

    Hongera Sana makamanda kwa ujenzi wa ofisi za chama
  8. Elisha kabombo

    CHADEMA wakiri kutoshirikiana na Zitto na ACT

    Chadema tunaamini vikao umakini wa chama na ueledi utumika kutatua yote haya tuwe wavumilivu chadema chenye kuzingatia utawala bora ktk misingi ya haki kwa pamoja tutaweza
  9. Elisha kabombo

    Madhara ya rushwa katika uchaguzi

    Rushwa ni adui wa haki kamwe hakuna kitu kibaya na dhambi kubwa kama rushwa kwanza upoteza amani tumuombe Mungu atufungue tuyajue haya na roho ya Mungu iwe ndani ya mioyo yetu
  10. Elisha kabombo

    John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Mungu wetu shuka juu yetu na huruma yako itawale kusiwepo vitendo hivi vya kusikitisha tunaomba Uhuru wa mtumishi wako mdude awe mzima kwa huruma yako Bali upendo wako ukae nasi daima
  11. Elisha kabombo

    John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

    Mwenyezi Mungu tuepushe na majanga haya kupotea na wasiojulikana Mungu wetu sikia maombi yetu haya inasikitisha nchi ya amani TZ kuwa kisiwa cha kupoteza amani Mungu wetu zidi kutufunulia tuweze kumtukuza Mungu kwa upendo ahsante Mungu wangu
Back
Top Bottom