Jamani twende mbele turudi nyuma hivi ni nani atakubari mtoto wake wa kike asipate elimu bora yaani aishie shule ya msingi tu I'll spate mme? Mimi naamini ni kuwafunza watoto wa kike tokea wakiwa wadogo utii,adabu na heshima kwa wanaume hapo itasaidia hapa akibahatika kupata elimu akamheshimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.