Recent content by eliot christopher

  1. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo nataka nihame civil niende computer engeneering

    Nataka niende computer eng kwasab naipenda na nimeanza kujifunza mambo mengi kama programming kabla ata sjafkiria kuchaguliwa chuo
  2. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania Msaada kimawazo nataka nihame civil niende computer engeneering

    jamani wakubwa heshima zenu... Mimi nimechaguliwa diploma in civil ila nataka niamie computer engeneering kwasabab naipenda computer kutoka moyoni lakini watu wananikatisha tamaa wanasema nafanya kitu cha ajabu... Naombeni msaada kimawazo
  3. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

    nashkuru mkuu
  4. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

    sielewi ndo mana nauliza
  5. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania IPI FACULTY NZURI CHUONI KWA SASA

    habari zenu jamani mimi nakaribia kumaliza kidato cha sita mwezi wa tano combination PCM. ninataka kwenda kusoma telecomunication nahitaji ushauri juu ya ilo na kama kwa sasa haifai kwa kipindi hiki engeneering gani nyingine ni nzuri tofauti na petroleum
  6. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania KUHUSU SWALA LA KWENDA CHUO KUTOKA KIDATO CHA SITA

    kwahiyo hawajatangaza icho kitu
  7. eliot christopher

    JamiiForums Tanzania KUHUSU SWALA LA KWENDA CHUO KUTOKA KIDATO CHA SITA

    Wakubwa najua kuna watu wanalielewa vizuri ili swala la form six huendi degree kama hujapata 1 au 2. Ivi ni kweli au ndo tetesi tu
Back
Top Bottom