Recent content by ELIMU PESA

  1. E

    Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Nimempata. Alitoroshwa na huyu jamaa. Baada ya kumtorosha alimbadilishia namba ya simu, hadi sasa anatumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la huyu jamaa. Kwa mujibu wao wameoana. Asanteni kwa michango yenu, mbinu nilizopata humu ndizo nilizozitumia kumpata. Asanteni sana.
  2. E

    Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Aliishi kwa furaha, hakuwa na tofauti na wana familia wengine. Tumuombe Mungu tu apatikane. Quote Reply Report Edit
  3. E

    Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Asanteni kwa ushauri. Mungu ajalie apatikane.
  4. E

    Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Habari ndugu zangu. Ninaomba msaada, binti huyu ninaambatanisha picha zake amepotea tangu tarehe 27/08/2023. Binti huyu anaitwa Antia Focas, nyumbani walizoea kumuita Nyakato. Ana umri wa miaka 19. Mkazi wa Mkundi Morogoro, japo ana miezi mitatu tu tangu ahamie mkundi, mwanzoni tulikuwa...
  5. E

    Nauza friji, bei nafuu sana

    Nauza friji kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni shilingi laki 110,000/= (laki moja na kumi). Haina gesi. Ikiwekewa gesi inagandisha na kupoza bila shida. Ninapatikana Morogoro, Kihonda-Bima. Mawasiliano 0755267811. Sababu ya kuiuza ni uhitaji wa fedha kwa haraka kwa lengo la kutatua tatizo...
  6. E

    Academic Research Consultancy

    Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Preparation of concept note for academic researches. 2. Preparation of academic research proposals. 3. Preparation of research findings and report writing. Data coding. Data entry. Data analysis (Qualitative, Quantitative and meta-analysis) i.e. Quantitative...
  7. E

    Nauza Dell Latitude 2120 10.1in. Notebook/Laptop

    Bado ipo mkuu ? Unapatikana wapi?
  8. E

    Nunua pikipiki aina ya boxer kwa bei rahisi

    Fatilia matangazo ya uuzaji wa vitu yanayowekwa kupitia akaunti utagundua yanahusiana na uuzwaji wa vitu kwa bei rahisi, sababu zilikwishaelezwa kitambo. Karibu mkuu.
  9. E

    Nunua pikipiki aina ya boxer kwa bei rahisi

    Utakapoiona, ukaona vibali, ukakutana na muhusika, taratibu za mauziano zikafanyika.... utakuwa assured kuwa mzigo ni salama.
  10. E

    Nunua pikipiki aina ya boxer kwa bei rahisi

    inahitajika hela kwa haraka itatue tatizo fulani.
  11. E

    Nunua pikipiki aina ya boxer kwa bei rahisi

    Njoo hewani tufanye biashara mkuu.
Back
Top Bottom