14 “Kwa malaika wa kanisa la Laodikea andika hivi: “Huu ndio ujumbe kutoka kwake yeye aitwaye Amina. Yeye ni shahidi mwaminifu na wa kweli, ambaye ni chanzo cha viumbe vyote alivyoumba Mungu.
15 Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo...
Na pia kama mtu akiijua kweli (neno la Mungu ambaye ndiyo Yesu) hakika hiyo kweli itamuweka huru
Soma Yohana mt. 1 kuanzia mstar wa kwanza kwa ufahmu zaidi tafiki yangu
Jaman hizo kashfa mnazozipost kama hakuna uhakika nazo ni bora mkanyamaza,
Manaake kama unasema kwamba ukiwa na mke mlokole ndoa yenu inaweza kuvunjika mda mfupi tu,huyo ayakuwa hajaokoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.