Recent content by Elijah bundala

  1. Elijah bundala

    Ukuaji wa ubongo kwa mtoto

    Ukuaji wa ubongo wa mtoto huanzia tangu mama akiwa mjamzito. Matukio yanayotokea nje yanaweza kuleta athari chanya au hasi. Matukio hayo ni kama migogoro ya baba na mama mjamzito, kutumia pombe au dawa za kulevya kama marijuana, heroin na sigara, kutofanya mazoezi na kula kwa usahihi na kwa...
  2. Elijah bundala

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    Sawa lakini kilio kipo kwa ccccm kwan wamepoteza majimbo kama ya dar simanjiro,monduli edward alisimama kama raisi wa ukawa💃💃💃
  3. Elijah bundala

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    Cuf leo wamepata wambunge wengi kuliko 2010
  4. Elijah bundala

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    Usingalie upande moja tu angalia ukawa kwa ujumla ndio utajua lowassa kafanya nini
  5. Elijah bundala

    Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    Hizi ndoto za mchana jamani
  6. Elijah bundala

    Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    Ni siri yangu
  7. Elijah bundala

    Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Strong and positive people like Lowasa they are not fear about what people say but they prepare about now and future
  8. Elijah bundala

    Maandalizi kabambe ya kusomba watu mkutano wa Magufuli

    wanashindwa kutueleza juu ya mambo ywnayotukabili kwa sasa na kwa baadae sasa wanaturudisha sodoma na gomora wakati tulishapita tunaitaji mtu wa kutoa katika hatua ambayo gari tulilokuwa tumepanda lilishindwa kutondoa sasa tumebadilisha gari na driver yupo kwa kutupigisha hatua huku...
  9. Elijah bundala

    CHADEMA na UKAWA wamepanic, wamechanganyikiwa

    fikiri kabla ya kuandika ili kujua unachoandika kinaweza kuwa sahihi na watu wakakielewa na kuwa sahihi mimi nazani wewe ndio umepanic jaribu kufikiria
Back
Top Bottom