Jamani ni masikitiko sana, sasa hiyo ni ya hapa morogoro tu, ina majengo mazuri ila walimu ni shidhaa, wanafunzi 279 mwl mkuu mmoja, na wa pili anapatikana angalau miezi miwili kwa mwaka mzima! Walimu wa muda wapo pia kusaidia kusukuma gurudumu la elimu lakini nao hawana elimu! Wazazi...