Recent content by ElietSe

  1. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Tunauza website na kuongeza website traffic

    Nauza website kwa ajili ya safari company. Kuna ambayo ipo tayari unachukua na kuweka majina yako na contacts tu. Pia tunatengeneza kulingana na mahitaji yako. Kama tayari unayo website, tuna huduma ya kuongeza traffic.
  2. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Zipo za one time payment ambazo ni za desktop na hazitumii internet, na nyingine ni web based zina payment kila mwezi. Ya web based unaweza kutumia hata kwenye simu ikiwa na internet. nicheki pm nikupe links za demo
  3. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
  4. ElietSe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa inauzwa

    Sofa set inauzwa ipo kwenye hali nzuri. Ipo Arusha. Bei 350,000 tshs.
  5. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Nahisi naanza kuchanganyikiwa, wapi nitapata tiba?

    Unachangia. Ada yao 20000 kwa session. Kulingana na hali yako unaweza kwenda mara mbili au moja kwa mwezi. Hospital za serikali ndio kuna za bure but kuna milolongo mirefu.
  6. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Nahisi naanza kuchanganyikiwa, wapi nitapata tiba?

    Kama upo Dar, Ubungo Plaza kuna psychologists wanasaidia mambo ya mental health. Wacheki.
Back
Top Bottom