Jamani myonge myongeni haki yake mpeni, huyu mama ni jembe sema tu mmeshindwa kuelewa usemi wake kuwa, wizara yake inafanya kazi kama figo ambapo matokeo yake hayaonekani waziwazi au kirahisi lakini ipo siku mtaamini mfano huu.
Sheikh ametuaibisha wakristu wakati wote tunajua kwamba mjadala wa udini ulianzishwa na Prof. Ibrahim Lipumba aliyehamisha mambo ya kanisani na kuyaleta Bungeni. Tuliufyata kimya wakati Lukuvi anasulubiwa kwa kurudia maneno ya boss wake Rais Kikwete. Kama sio udini au kujipendekeza au yote...
Hapo patamu sana mkuu. Kwa ujumla ili twende mbele lazima tusionekana kulalia upande mmoja. Haiingii akilini mtu anashiriki mchakato tangu february, alafu anaacha zimebaki siku tano tu kuhairisha Bunge Maalumu la Katiba, wakati huohuo posho kaishachukua zote, eti anatangaza kujitoa. Nami...
Kutoa ni moyo wala sio utajiri, kwa hili hata ingekuwa mtu wa kawaida angeshukuru kwa mchango wa shule, kwa sababu mwisho wa siku watoto wetu ndio wanapata elimu na sio mama Tibaijuka.
mi nafiriki wakati mwingine lazima tusimamie ukweli,kwa miaka kadhaa wote waliopewa uwaziri wa ardhi hawakuweza kufika katika kijiji cha kapunga kutatua mgogoro huu lakini jambo la kusikitisha watu wanashidwa kuona ukweli huko wapi, mheshimiwa Anna Tibaijuka amethubutu kwa nia njema na wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.