Hahaa na nyie mnawaza kama mimi kumbe, yaani siku nikiona account yangu inaonyesha selected for oral interview , yaani mimi najua kazi tayari bila chenga kabisa. ,,,,, anyway mwenye written interviews za human resources officer atupee Nondo jamani. pia kuna zile post za admission officers...