Recent content by Elice Elly

  1. Elice Elly

    GE2020 Nimemsikiliza sana bwana Lissu nikaelewa yafuatayo

    Kwani kampeni zimeanza?
  2. Elice Elly

    Lissu kupewa fedha za ubunge bila kuwepo bungeni ni hoja ya ukaguzi!

    Hizo Pesa mlimlipa Wewe na Nani? Na kwa kazi gani?
  3. Elice Elly

    GE2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

    Hahahahaha.kazi mnayo mwaka huu
  4. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Wewe ndo hujielewi,umesoma vizuri Ujumbe wangu?
  5. Elice Elly

    GE2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

    Kwani umeambiwa Chadema ndo imemtuma Lissu kumpa changamoto magufuli? Kumbuka Chadema bado haijateua mgombea wake
  6. Elice Elly

    GE2020 Mambo makubwa matatu ambayo Bernad Camilius Membe anamzidi Tundu Antipas Lissu!

    Umenikumbusha digrii nne za Mwakyembe vile wajumbe wa darasa la saba walivyo mtenda
  7. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Miundombinu HII AMBAYO kwa sehemu Kubwa unakuta mabango yameandikwa "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"? Wadanganye ambao hawajielewi aisee.
  8. Elice Elly

    GE2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

    Si unatambua mitandaoni ndiko kulikokusanya watu wengi kwenye mapokezi ya Lissu?Ulionaje lakini ule umati uliokusanywa kwa nguvu ya mitandao?
  9. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Janga kama CCM?
  10. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Hao ni wahuni wa Lumumba wapo kazini. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  11. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Nyinyi ndiyo wavuta bangi,toka Uhuru mmeshindwa kuiendeleza nchi hii pamoja na kuwa na rasilimali zote Hizi,Halafu hamnaga hata aibu,watu mlioshindwa kuwaletea maendeleo bado mnawaita eti wanyonge.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  12. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Nimekuambia Mpango wa Mungu hauzuiliki kwa propaganda.
  13. Elice Elly

    GE2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

    Kwani magu alishawahi kutawala wapi kabla?
Back
Top Bottom