Uchaguzi 2020 CHADEMA muwachunge wajumbe wenu kwa umakini mkubwa, kuna uwezekano wakahongwa fedha nyingi ili wamchague mtu asiye sahihi kwa maslahi ya chama fulani

Hawa watu wa chama sijui wana matatizo gani, kabisa Lissu awe Rais na ujinga wote ulio jaa bichwa lake. Amekaa Ubelgiji amezurura wee amekuja Bongo kwenda mahakamani anadai eti anaumwa, hata anaepandikizwa moyo angeshapona ila Lissu anaogopa kukabiliana na matatizo yanayomkabili halafu kuna Watu wanaamini anafaa kuwa Rais. Kitu ambacho tunatakiwa tujifunze hapa ni kuwa hawa Wapinzani wengi wanatumwa na Wazungu wanaoona kabisa Wanakosa pa kuinyonyea TZ sasa mkiwapa Nchi unadahani watafanya nini.
 
Umenikumbusha mgombea mmoja wa CCM ambaye alipata kuwa waziri awali.
Alihonga zaidi ya nusu ya "wajumbe" lakini akaambulia kura 6 tuu.
Mbaya zaidi kila anayekutana naye anajifanya kumuuliza "hivi wengine hukuwapa? Maana Mimi nilikupigia"
Wapiga kura wa Chadema wanahofu ya Mungu, ukiwahonga ndio kwanza wanafanya maamuzi kinyume nawe.
Lakini hata ukihonga unauhakika gani kwamba hiyo hongo iliingia akilini mwao?!

Unaweza kutoa hongo ikaishia tumboni.
 
Rushwa iko ccm huku CHADEMA hakuna huo ushenzi
Popote ilipo kwangu naona ni nzuri, inaonyesha watoa rushwa wanatujali kwa muda huo.

Ni kama community social responsibility (csr) yafanyayo makampuni kutununulia pilau wakati wa sikukuu za eid.
 
kuna hongo unapewa kibabe ndugu. Au huzijui hizo hongo?
Na kuna hongo zina ahadi mbele ya matokeo. Wewe usifanye masihara
Hongo yoyote haina guarantee ya matokeo, matokeo hupanga mpiga kura anavyotaka.

Njia pekee kushinda ni kuamrisha vyombo vya dola kubadilisha matokeo yakupe ushindi kwa lazima, hii nimeona ina uhakika kuliko kutegemea hisani ya idadi ya kura.
 
Kama uchaguzi unafanyika CHADEMA dola itaamrishwa vipi ipindishe matokeo zaidi ya hongo?
Lengo ni kumpata mgombea mdebwedo kutoka upinzani, ambaye hata ukimbadilishia matokeo ataishia kusema najipanga for next General Election.
 
Baada ya Slaa mgombea bora wa CDM anaepeperusha bendera anaefuatia ni Nyarandu.
 
Kama uchaguzi unafanyika CHADEMA dola itaamrishwa vipi ipindishe matokeo zaidi ya hongo?
Lengo ni kumpata mgombea mdebwedo kutoka upinzani, ambaye hata ukimbadilishia matokeo ataishia kusema najipanga for next General Election.
Hata angepitishwa nani matokeo yakiisha tangazwa hakuna cha kufanya kikatiba. Kujipanga au kutojipanga kwa next general election ndio inavyokuwa miaka yote
 
Tuna imani na wajumbe wa kamati kuu, Kwamba watatuletea mgombea anaeuzika, Mgombea anaekubalika, Mgombea anaefaham wananchi wamekosa nini katika tawala zilizopita, Mgombea ambae ana uelekeo ulio bora katika chama tangu mwanzo.
 
Habari wakuu!

Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner.

Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu.

Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo maarufu kama CHADEMA, kuna uwezekano mkubwa wa chama hasimu na CDM kugawa fedha nyingi kwa baadhi ya wajumbe ili wamchague mgombea fulani kwa maslahi ya chama hicho.

Please mod naomba huu Uzi muuache angalau mpaka pale CHADEMA watakapomaliza uchaguzi wao wa kumsimamisha mgombea wa kiti cha Urais.

Hapa wanakwenda kutengenezwa akina Yuda kwa vipande vya fefha za kutosha tu kwa kila kichwa.

CHADEMA kuweni karibu na makini na wajumbe wenu.

Nimemaliza.

Mimi nimesema mara nyingi sana humu na naomba niseme tena...

Kwamba, MAJIRA na NYAKATI zikiwadia kwa jambo fulani lililopangwa na Mungu Muumba mwenyewe kutokea, basi huwa hakuna mtu wala nguvu nyingine yoyote inayoweza kuzuia jambo hilo....!

Yaani; siyo nguvu ya fedha; siyo nguvu ya jeshi lolote bora na lenye vifaa vya teknolojia ya kisasa; siyo ubunifu wowote wa sayansi ya kisasa; siyo visheria vya kijinga jinga walivyojitungia binadamu kufichia uovu wao; siyo miungu yao wala wachawi wao wala wanajimu wao. Yaani HAKUNA, HAKUNA, HAKUNAAA.

Kama fedha ikiletwa na hao wajinga wa CCM wakidhani watazuia kusudi la Mungu, msiogope chukueni ni zenu hizo. Pelekeni nyumbani mlipie ada za shule watoto wenu....

Mungu alikwishaweka maamuzi yake ndani ya mioyo yenu. Hakuna wa kutangua. Nguvu ya Mungu aliye hai ni SUPREME POWER. Ni nguvu yenye maamuzi ya mwisho MBINGUNI na DUNIANI...!

Wakileta fedha, wajinga hao, pokeeni. Wanadhani karama ya Mungu yaweza kununuliwa na fedha???
 
Umeandika kwa hisia
 
Umeandika kwa hisia

Inaweza kuwa "kwa hisia" kwa mtazamo wako....

Lakini hii ni LAW OF NATURE...

Ikifika majira na nyakati ya jambo fulani KUANZA ama KUFIKIA TAMATI/MWISHO wake, hakuna nguvu nyingine ya kuzuia kuanza ama kufikia mwisho wa kitu/jambo hilo....!!

Ukifika wakati wa kufa kwako wewe kwa style yoyote, huwezi kuzuia kifo chako....

Ukifika wakati wa kuzeeka kwako na kushindwa kufanya kazi, hakuna wa kuzuia....

Ulifika wakati wa Benjamin W. Mkapa wa kufa, hakuna aliyezuia kufa kwake wiki iliyopita...

Kila jambo lina mwisho na mwanzo wake..

Hizi siyo HISIA, hii FACT tupu. Hii ni LAW OF NATURE...

Kama unadhani ni hisia, utakuwa una matatizo yako binafsi ya kutoyatazama mambo ktk namna ya kutafakari...!!

In fact, wewe ndiye unafikiri na kuyatazama mambo kwa nadharia, hisia....
 
Kama mlivyo chapisha fom moja kwenu lumumba?

Cdm ndiyo nyumba ya demokrasia jomba
Bora mngechapisha fomu moja tu kama vipi!

Siyo watu wanunue fomu halafu kumbe tayari mna jina lenu mfukoni.
 
Back
Top Bottom