Recent content by Elias Rugabandana

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mchome ni Mungai mwingine

    Nilikuwa napita tu,ila nimesoma na kuelewa.MUNGU ATUNUSURU NA MAJANGA.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya waziri Lukuvi baada ya kuzomewa Bungeni, inaonesha anajua wauza unga, atutajie vinginevyo..

    Kumbe tatizo kama linahisiwa kuwagusa hata viongozi wakubwa wandamizi wa serikali inabidi lipuuziwe na lifichwe ili wasitajwe hadharani? Kwahiyo hakina Masogange wakafie peke yao jela eti?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya waziri Lukuvi baada ya kuzomewa Bungeni, inaonesha anajua wauza unga, atutajie vinginevyo..

    Du,kama ndio hivyo nani atasalimika?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

    Labda kuna kifungu cha sheria kinachowalinda wa2 waliowekeza na kujihajiri kwenye sekta ya ujambazi wa hali ya juu,maana 2nashuhudia vibaka waiba kuku na wakwapua mikoba ndio wanaoozea jela.Lakini ukienda kufungwa kwa wizi wa mamilioni ni fasta kumaliza kifungo.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Maritime Authority (ZMA) is facilitating dubious business and illicit drugs business!

    Tanzania kama kuzikomboa nchi kutoka kwenye ukoloni tulishafanikiwa,eneo letu tulilonalo pamoja na mali asili tunashindwa kuzimudu wenyewe mpaka tunatafuta wawekezaji. Sasa kwa nini tusione kuna umuhimu wa kuwaacha Wazanzibar wajitawale na wafanye maamuzi juu ya nchi yao?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA: Kwanini wanawakilisha Chama na kuwaacha watu waliowachagua?

    Kama mawazo yako ni kuwa uwe na elimu ya juu ndio uweze kuongoza au kutoa hoja basi natumai na wewe umepotoka,pole.Sasa inatuonyesha wana jamii kuwa na wewe hufai popote.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanalinda mafisadi na wauza unga?

    Inabidi kwanza watanzania tuwe kitu kimoja ndipo tutaweza kuongea lugha moja.Bila hivyo kila mmoja afanye ajuavyo kulingana na maarifa aliyonayo.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Bandari yamuondoa Kipande, Mwakyembe aizuia

    Sheria iangaliwe inasemaje kuhusu hilo swala na ifanye kazi yake immediatelly.
Back
Top Bottom