Habari zenu wanajamiiforum mm nihitaji ushauri kua jinsi gani ninaweza kupata mayai ya kuku wa kisasa nikayatotolesha mwenyewe kwa kutumia incubator na sio kununua hapana kuku ninao ila nyia sasa ya kuyapata ayo mayai then nikayatotolesha katika iyo machine tafazali nawaombeni msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.